Trump atamani kukutana Kim wa Korea Kaskazini - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Trump atamani kukutana Kim wa Korea Kaskazini

Rais Trump wa Marekani asema angependa kukutana na mwenzake wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un kwa shart la kuacha uchokozi.

Katka Mahojiano yake na shirika la habari la Bloomberg Americas Ikulu ya Marekani Donald amesema kuwa kama hali ikiruhusu, angependa kukutana na mwenzake wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong-Un.

Msemaji wa Ikulu ya Marekani siku hiyo amesema, "kama hali ikiruhusu" inamaanisha mambo mengi, la kwanza ni Korea Kaskazini kusimamisha mara moja hatua za uchokozi. Amesisitiza kuwa kutokana na hali ya sasa, hakuna uwezekano wa kukutana kwa viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.