Shamsa Ford Awafungukia Wanaodai Amemfilisi Mumewe - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Shamsa Ford Awafungukia Wanaodai Amemfilisi Mumewe

By @shamsaford

Nikiwa kama binadamu ni vibaya kuishi na kinyongo kwasababu natembea na umauti na sijui ni lini Mungu atanichukua. kiukweli mmenisononesha sana binadamu..ila kubwa kuliko vyote nimegundua kwamba watu wengi hawaitakii ndoa yangu mema. Nilipoanza uhusiano na mume wangu wakasema tutachezeana na kuachana.Tulipooana wakasema hatutofikisha mwezi tutaachana, mitihani mingi iliyotutokea binadamu hawahawa walikuwa wanacheka.. Leo hii mnatusimanga na hayo mambo mnayopost..Nyie Binadamu mnataka nini jamani..Ni wa kwangu Mimi hata aweje ni wa kwangu mimi.Mnalotaka litutokee inshaallah kwa kudra za Mwenyezi Mungu halitatokea. Pale mnapowaza mabaya yatutokee kwenye maisha yetu na Mungu naye anapanga kutuepusha na hayo mabalaa....

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.