Ruby: Alikiba sio kichenchede wangu. Huu ndio ujumbe kwa Anaemzushia. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ruby: Alikiba sio kichenchede wangu. Huu ndio ujumbe kwa Anaemzushia.

Hitmaker wa ngoma ya 'Wale wale' ambae yuko nje ya kundi lililomlea la THT , mwanadada Ruby ambae amekuwa kimya kwasasa baada ya kuachia ngoma yake ya 'walewale'

Kama utakuwa ni mzurulaji mzuri hakika zitakuwa zimekufikia taarifa za hitmaker wa Aje hapa nmzungumzia Alikiba kutoka kimapenzi na Ruby . Kama ulikuwa unajiuliza au kudhania basi ruby amekuachia ujumbe huu.

“Na mimi taarifa hizo nimekuwa nikiziona kama wewe ulivyoziona, sioni jipya kwasababu walishawahi kusema kuwa nipo karibu sana na Diamond, sasa wamegeukia kwa Kiba ambaye hata mawasiliano yake sijawahi kuwa nayo,”

Bongoswaggz inakupa nafasi ya kuacha comment yako juu ya Ruby je? Anajitetea au anatafuta kiki.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.