Ronaldo ni Nouma aipiga ' Hattrik' Atletico Madrid na ameweka Rekodi hii ya kidunia usiku wa jana. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ronaldo ni Nouma aipiga ' Hattrik' Atletico Madrid na ameweka Rekodi hii ya kidunia usiku wa jana.


Usiku wa kuamkia leo katika jiji la Madrid ulizikutanisha madrid derby ambayo ni Real Madrid walipowakaribisha Atletico Madrid katika uwanja wao wa Santiago Bernabeu mechi iliyochezwa mishale ya saa 4:45 usiku

Cha kushangaza zaidi usiku huo umekuwa neema kwa mchezaji tegemezi wa timu hiyo Christian Ronaldo kwa kupachika magoli matatu na kuweka rekodi zaidi ya mbili katika usiku wa jana.
Bongoswaggz inakufahamisha kuwa tangu timu ta Atletico waanze kushiriki Uefa walijuwa na jumla ya magoli 100.na ronaldo alikuwa na magoli mia tangu aanze kucheza Uefa na kwa hart trik ya jana anafanikiwa kuongoza kwa magoli matatu au unaweza kusema usiku wa jana ilikuwa ni Ronaldo vs Atletico madrid.

Unapoizungumzia Real madrid na Atletico Madrid Derby basi mtu anaeongoza kwa kupiga hat trik ni Christian Ronaldo pekee. Hizo ni rekodi kubwa mbili ambazo ronaldo aweshaziandika katika kitabu cha kumbukumbu cha soka.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.