Roma Atinga Ikulu Kwenye Mkutano wa Rais Magufuli. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Roma Atinga Ikulu Kwenye Mkutano wa Rais Magufuli.

Kwa mara ya kwanza Msanii wa Hip Hop Roma Mkatoliki na wasanii wengine tangu kuingia Madarakani kwa Rais John Magufuli wameitwa Ikulu.

Roma alionekana Ikulu akiwa bado Mkononi anabendeji aliwekwa kutokana na Majereha aliyoyapata kutokana na mateso aliyoyapata alipotekwa na watu wasiojulikana.

kwa pamoja na wasanii wengine waliimba mbele ya Rais Magufuli wimbo wa Kizalendo juu ya 'Tuulinde Muungano'

Wimbo huo uliwakutanisha wasanii takribani wote wa Muziki wa Bongo Fleva.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.