Real Madrid kuikabili Atletico Madrid Usiku wa Leo kwenye UCL. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Real Madrid kuikabili Atletico Madrid Usiku wa Leo kwenye UCL.

Leo ni siku ya jumanne ya mei 2. Siku ya leo tunauwita usiku wa Uefa ikiwa ni katika muendelezo wa ligi hiyo ambayo huzikutanisha vilabu bora za kila ligi na leo inapigwa pig mechi kutoka mji mmoja wa Madrid.

Real madrid inawakaribisha Atletico madrid katika uwanja wake wa nyumbani. Na hii inakuwa ni mechi yao ya tano kukutana katika hatu hii ya nusu fainali ikiwa ni mbinu za kuutafuta ubingwa wa UEFA.

Bongoswaggz inakukumbusha kuwa Atletico madrid ni miongoni mwa timu ambazo huzipa wakati mgumu beki za real madrid na usiku wa leo huwenda Atletico wakauvunja uteja kwa real madrid kwa kufungwa kila mechi.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.