Picha: Pozi la Mh Jk Kikwete la-trends mtandaoni cheki Ommy Dimpoz alivyomtania. Isome habari hii. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Pozi la Mh Jk Kikwete la-trends mtandaoni cheki Ommy Dimpoz alivyomtania. Isome habari hii.

Kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii tayari utakuwa umefanikiwa kuinyaka picha ya raisi wa awamu ya nne Mh. Mrisho Jakaya kikwete akiwa katika pozi flani ambalo limeonekana kupendwa zaidi.

Bongoswaggz imezikufanya baadhi ya post ambazo zimepoatiwa na wasanii kuhusiana na picha hiyo na tayari imeshaweza kutrends zaidi.na hizi ni baadhi ya post tulizoziokota kutoka facebook na instagram.

Ommy dimpoz katika picha akiwa katika pozi sawa na raisi wa awamu ya nne.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.