Picha: Arsenal Ndio Bigwa wa FA cup , Je? Arsene Wenger Ndio Mwisho wake au bado yupo. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Arsenal Ndio Bigwa wa FA cup , Je? Arsene Wenger Ndio Mwisho wake au bado yupo.

Usiku wa jana tuliutambua kama usiku wa FA ambapo tulifanikiwa kuwaona Arsenal wakiwakaribisha Chelsea ili kumpata ataefanikiwa kunyanyua kwapa kwa mwaka huu.

dakika 90 za mchezo zilitosha kabisa kwa Arsenal kwa kuwaadhibu vyema ijana wa darajani na kufanikiwa kutwaa kombe.

Bongoswaggz inakukaribisha kuangazia picha na matukio yalitokea jana wakati arsenal wakiambulia kombe la Fa. Je? kocha Arsene atasalia klabuni hapo au ndo atafungasha.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.