Ney wa Mitego: Rimix ya 'Wapo' iko Tayari hii nizamu ya Rais Magufuli. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ney wa Mitego: Rimix ya 'Wapo' iko Tayari hii nizamu ya Rais Magufuli.

Hivi si tunamjua yule mfungwa wa (BASATA) ambae kila ngoma anayoidtopisha basi ndo inakuwa kesi kwake. Hapa namzungumzia Ney wamitego anaetamba na kibao cha 'wapo'.

Rapper huyo tayari smesha thibitisha kukamilika kwa ngoma hiyo ambayo ni rimix ya 'Wapo' ambayo huwenda akaiyachia muda wowote kuanzia sasa na amemzungumzia mh rais wa awamu ya tano.

Ney wamitego alikuwa na haya ya kusema baada ya kumaliza tour yake na kwa sasa yuko jiji dar es salaam kwa maandalizi ya ngoma hiyo.
“Kusema kweli wimbo wa Mh Rais umekamilika na muda wowote unaweza kutoka,” alisema Nay. “Nimeongeza mambo mengi ndani yake, kwahiyo mashabiki wakae mkao wa kula kwaajili ya moto mwingine kwa sababu bado ‘Wopo’ yenyewe inaendelea kufanya vizuri,”

Hivi unakumbuka kuwa Original ya wimbo wa 'Wapo' ambao ulifungiwa na Basata mtu alioufungua wimbo huo ni muheshimiwa rais.

Hii style ya msanii huwachana viongoz hivi ni sawa au anatafuta kiki tu. Tuachie Comment yako

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.