Nape Amwagia sifa Waziri wa JPM - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nape Amwagia sifa Waziri wa JPM

 "Unaitendea haki sana Wizara hii January! Big up👊🏿"- Ameandika Mbunge Nape Nnauye Kupitia ukurasa wake wa Twitter Leo Mei 30, 2017.
Hatua hiyo ni Muendelezo wa Jitahada ambazo amekuwa akizifanya January Makamba Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira katika kuhakikisha Sera ya uhifadhi wa Mazingira inasimamiwa na kutekelezwa ipasavyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.