Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Ruvuma Afariki dunia - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Ruvuma Afariki dunia

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu amefariki dunia leo saa nne asubuhi katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

 Mdogo wa marehemu, Shaibu Mwambungu amesema kaka yake alifariki dunia leo asubuhi baada ya hali yake kubadilika ghafla akiwa hospitalini hapo.

Shaib amesema taratibu za mazishi zitatolewa baadaye ambapo kwa sasa anajiandaa  kusafiri kutoka Songea  kuja jijini Dar es salam kwa ajili ya mazishi. 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.