Mh: Jp Magufuli Atuma Salam za Rambirambi kwa vifo Vya Wanafunzi 32 Arusha. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mh: Jp Magufuli Atuma Salam za Rambirambi kwa vifo Vya Wanafunzi 32 Arusha.

Tanzania imekubwa na majonzi mazito siku ya jana kwa kupata msiba wa kufiwa na wanafunzi wapatao 32 kutokana na ajali mbaya ya gari amayo ilitokea walipokuwa njiani kwenda kufanya mitiana ya kushindana na shule jirani.

Bongoswaggz inaungana na taarifa kutoka ikulu na inakusogezea kwako kuwa raisi wa awamu ya tano Mh John Pombe Magufuli ametoa rambirambi kama pole kwa familia zote zilizokubwa namsiba huo.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.