Magoli: Simba 2-1 Mbao Fc, Penalt ya Utata Ilivyoipa Ubingwa Simba. Tazama Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Magoli: Simba 2-1 Mbao Fc, Penalt ya Utata Ilivyoipa Ubingwa Simba. Tazama Hapa

Jioni ya May 27 katika final ya ligi iliyokuwa inaendeshwa na Azam ilikuwa imefikia tamati iliyozikutanisha mahasimu wawili katika jiji la Dodoma ambapo tulifanikiwa kuwaona Simba sc wakichuana vilivyo na vijana kutoka Mwanza Mbao fc.

Mpira ulikuwa ni vute nikuvute hali iliyopelekea kuongezwa kwa dakika 30 zingine ambazo ziliwagarimu vijana kutoka mwanza kwa kutoa penalt ambayo imeonekana haikuwa ya halali.

Bongoswaggz inakukaribisha kuitazama nesu mechi na magoli yote pamoja na penalt iliyoleta utata.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.