Klabu ya Simba imejiharibia kila kitu kwa Mo Dewji - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Klabu ya Simba imejiharibia kila kitu kwa Mo Dewji

Mfanyabiashara mkubwa nchini, Mohammed Dewji ambaye alikuwa na mpango wa kutaka kuinunua klabu ya Simba pia kuisaidia klabu hiyo katika mambo mbalimbali ameonyesha kusikitishwa na viongozi wa klabu hiyo kusaini mkataba bila kumshirikisha.

Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka mitano na kampuni SportPesa ya udhamini wenye thamani ya 4.9 Bilioni 

"Inasikitisha kuwa uongozi wa Klabu ya Simba umesaini mkataba wa udhamini wa muda mrefu bila kunishirikisha. Kwa muda mrefu nimeweka nguvu zangu kwenye klabu" alisema Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa Twitter 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.