Kifo cha dogo Mfaume kimemuibua Ray C ajiapiza kuchukia Dawa za Kulevya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kifo cha dogo Mfaume kimemuibua Ray C ajiapiza kuchukia Dawa za Kulevya

Msanii wa kike mwenye sauti ya kuvutia, na nyonga kali kwenye muziki wa Bongo Flavar Ray C amejiapiza kutorejea kwenye matumizi ya dawa za kulevya.

Ray C amewataja wasanii wengine waliopteza maisha kutokana na Dawa za kulevya.
“Kuna muda nakaa na kujiuliza barabara ilikuwa na mvua kubwa sana na ukungu kiasi cha kushindwa kabisa kuona mbele !!! mbele magari mengine nayo yalitaabika kuFucos! La mbele kabisa ikiwemo Langa bahati mbaya lilipotea  Nyuma yake kulikuwa na Ngwear  nalo pia lilitokemea moja kwa moja angalia angali naliona , Hata la whitney pia aliweza kukodi hata ndege lakini naye alipita hiyo hiyo barabara na hakufanikiwa kupita, na hili nalo ni Mfaume limeenda zake sababu ni ilele ya kutisha !! kama  kama sijalipata somo mpaka sasa basi nikipita ile barabara kitachofuta ni kifo…………” 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.