KAMANDA Sirro Ametoa Ufafanuzi Kuhusu Askari Aliyefyatua Risasi Hewani Mbele ya Waziri wa Zamani..!!! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

KAMANDA Sirro Ametoa Ufafanuzi Kuhusu Askari Aliyefyatua Risasi Hewani Mbele ya Waziri wa Zamani..!!!

Kamishna Sirro asema mzozo kati ya Polisi na Adam Malima ulisababishwa na kuegesha gari vibaya na alipotakiwa kulipeleka 'yard' alikataa.

Kamanda Sirro ametoa ufafanuzi kuhusu askari aliyefyatua risasi hewani mbele ya Waziri wa zamani Adam Malima, "Waziri alikataa kutoa gari"

"Kukosekana maelewano ndio kilichofanya askari kutumia nguvu ya ziada na kufyatua risasi tatu ili kuwatuliza wananchi"

Kamishna Sirro: Polisi alifyatua risasi hewani kuwatawanya watu na kufanikisha ukamataji wa mtuhumiwa. Ile ni mbinu ya kufanikisha ukamataji

Kamanda Sirro ametoa kauli muda mfupi uliopita wakati akiongea na waandishi wa habari leo.

Majibu haya yametokana na Mjala unaoendelea Mtandaoni kuhusu Adam Malima kutishiwa kwa Bunduki

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.