Jesus aipa ushindi Man city - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jesus aipa ushindi Man city

Mshambuliaji kinda wa miaka 20, Mbrazil, Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester City kwa penalti dakika ya 36 ikiwalaza Leicester City 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Bao lingine la City limefungwa na David Silva dakika ya 29 wakati la Leicester limefungwa na Shinji Okazaki dakika ya 42

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.