Huu Ndio Ujumbee Wa Idris Sultan Baada Ya Linah Kuachia Picha Za Ujauzito Wake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Huu Ndio Ujumbee Wa Idris Sultan Baada Ya Linah Kuachia Picha Za Ujauzito Wake

Baada ya msanii Linah Sanga kuachia picha mtandaoni zinazoonyesha ujauzito wake, mchekeshaji Idris Sultan ameamua kutia neno katika moja ya picha hizo.

Kupitia instagram Idriss ameandika haya machache “best celebrity pregnancy photos Tanzania nzima, shoutout to the baby it is photogenic.

“Ila swali ni moja kama unakaa unatushauri raha tujipe wenyewe alafu unatuacha kwenye mataa hii mimba jinsi ulivyoipata kumbe uliteleza ukadondokea virutubisho eee @officiallinah alafu @director_ghost njoo uone hii picha ya msanii ni kali nilitaka tu uione wala hauhusiki,” aliandika Idriss.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.