Full Interview ya WCB Wasafi wakimtambulisha msanii wao mpya (+Audio) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Full Interview ya WCB Wasafi wakimtambulisha msanii wao mpya (+Audio)

Leo kwenye Leo Tena ya Clouds fm WCB Wasafi wamekitambulisha kichwa kipya cha muziki ambacho kitakuwa kinafanya kazi chini ya leob hiyo kama ilivyo kwa Harmonize, Rayvanny na hata Rich Mavoko.Kama ulipitwa na interview yao kwenye Leo Tena usiwaze, unachotakiwa kufanya kubonyeza play kwenye video hii hapa chini nimeinyaka interview nzima na nimekuletea hapa ili uweze kwenda sawa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.