Darassa kuachia Ngoma Mpya leo 'Hasara Roho' ndio jina la Ngoma - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Darassa kuachia Ngoma Mpya leo 'Hasara Roho' ndio jina la Ngoma

Hitmaker wa ngoma ya 'Muziki' ambae ametamba zaidi katika  miezi mitatu mfurulizo ndani na nje ya nchi na kuweka rekodi ya kipekee kupitia Youtube.

Kupitia mtandao wa instagram rapper huyo aliamua kuandika maneno haya ikiwa ni ishara ya  ujio wa ngoma mpya ya 'Hasara Roho'

darassacmgGood morning From Bongo Tanzania Est Africa to the Top of the world! Nataka kusema Asante sana kwa love na support ambayo mmetupatia kwenye project yetu ya #muziki kupelekea kua National Anthem, Hakuna neno linaweza kumaanisha Thamani yenu kwetu! God bless you all Usikose kusikiliza project yetu mpya Leo 🙏🙏🙏 #CMG#HasarARoho

Endelea kutembelea www.bongoswaggz.com ili uwe wa kwanza kuipakua ngoma hii

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.