BREAKING NEWS: WANAFUNZI 20 WAFARIKI KWA AJALI KARATU - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

BREAKING NEWS: WANAFUNZI 20 WAFARIKI KWA AJALI KARATU

Arusha. Wanafunzi zaidi ya 20 wanahofiwa kupoteza maisha  katika ajali ya basi iliyotokea wilayani Karatu leo asubuhi.

Habahari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa basi hilo lilikuwa likitokea Arusha Mjini kuelekea katika Mbuga za wanyama.

 Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Therezia Mahongo amethibitisha tukio hilo.

Tutaendelea kukujuza zaidi kuhusu taarifa hii.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.