BREAKING NEWS : MZAZI MWENZA WA ZARI THE BOSS LADY AMEFARIKI DUNIA - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

BREAKING NEWS : MZAZI MWENZA WA ZARI THE BOSS LADY AMEFARIKI DUNIA

Siku chache baada ya kuwepo taarifa za kuugua ghafla kwa Ivan Semwanga a.k.a Ivan the Don, mfanyabiashara maarufu nchini Uganda na mzazi mwenza wa mrembo Zari The Boss Lady, leo May 25, 2017 imeelezwa kuwa tajiri huyo kijana amefariki dunia.

Kupitia Instagram account ya Zari ameandika  God loves those that are special and that’s exactly who you were & I guess that’s why he wanted you to himself.

You have touched and helped thousands, you did wonders and I remember you telling me “life is too short let me live it to the fullest”, this very dark hour it makes sense why you always said those words to me. To your sons, you were a hero-some kind of superman.

Anyone who has ever been in your presence knows what a charming person you were. You will be missed and remembered in so many ways. You were IVAN THE GREAT! Rest in peace DON <<<- Zari The Boss Lady

Taarifa za awali zilieleza kuwa mfanyabishara huyo alikuwa akisumbuliwa na tatizo la moyo. #RIP 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.