Breaking News: Ajali ingine yatokea Tanga, Costa imeigonga Lori - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Breaking News: Ajali ingine yatokea Tanga, Costa imeigonga Lori

Ajali mbaya imetokea usiku huu eneo la Lusanga, Muheza. Basi aina ya Coaster likitokea Tanga kuelekea Korogwe limegonga Lori kwa nyuma na kusababisha vifo vya watu wengi (karibu gari zima)


Updates zinakuja zaidi..
Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.