Audio: Planet - Nendeni Salama - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio: Planet - Nendeni Salama

Tanzania bado tunaomboleza msiba wa kuwapotezawanafunzi 32 waliofariki katika ajali aliwa ni siku nne tangu kutokea kwa ajali hiyo ambayo imewagusa watanzania wote na kutumia picha ya mshu maa kama maombolezo.

Msanii planet ametuletea nyimbo aliizungumzia ajali hiyo na jinsi tulivyoguswa na msiba huo kama Bongoswaggz inavyokusogeze  nyimbo hiyo.
https://my.notjustok.com/track/download/id/215006/by/4cP25Cezoh


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.