Audio: Msagasumu - Mashine - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio: Msagasumu - Mashine

Baada ya kutupa unanitega sheemeji na nyingine za nyumaambazo zilitufanya tumjue mfalme wasingeli Msagasumu ametudropishi mpya hii akiwa na 'Toka zamani' wakisimama kama waasimamizi wake.

Bongoswaggz inakukaribisha kuidownload ngoma Mpya ya Msagasumu aliyoipa jina la Mashine, mashine ina nini tena. download hapa chini na kuisikiliza pia.

https://my.notjustok.com/track/download/id/215259/by/bQ6ZR01KUe


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.