Audio: Mkuno Classic ft Ommy - Bado Niponae. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio: Mkuno Classic ft Ommy - Bado Niponae.

Ijumaa ya leo Mey 5 kutoka kwa mkubwa na wanae anatusofezea kijana wake mpya anaefanya vizuri kwasasa. Leo anatudropishia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Ommy.

Bongoswaggz inakupa nafasi ya kuipakuwa ngoma mpya ya Mkuno classic aliyomshirikisha Ommy na kuipajina bado niponae. Gusa neno download ukaipakue ngoma hiyo.

                                          Download here

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.