Aslay: Mkubwa Fella hatii mkono kwenye Ngoma, Nakomaa kiume - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Aslay: Mkubwa Fella hatii mkono kwenye Ngoma, Nakomaa kiume

Hitmaker wa ngoma ya 'Angekuona' anaefahamika kama dingi mtoto ama unaweza mwita aslay ambae ni miongoni mwa wasanii wanao liunda kundi la 'Yamoto Band'

Maswali mengi yanajitokeza kwa msanii huyo baada ya kuonekana anaachia ngoma zake mwenyewe na hatuskii kutajwa kwa meneja wa kundi hilo.

Alipokuwa anahojiwa na katika media flani kutoka songea Aslay alikuwanna haya kuhusiana na ukweli je? Mkubwa fella anamsaada gani kwenye ngoma zake.

Ni kweli Mkubwa yeye anasimamia Yamoto Band, Mkubwa hasimamii msanii mmoja mmoja, kwahiyo unatakiwa ufanye kitu cha ziada ilimradi ngoma zako zifike. Wenzangu wanaandaa vitu vinakuja lakini mimi nimefanya kama nimewahi kuwaonesha njia,” amesema muimbaji huyo.

Bongoswaggz inakuomba ukaipakue App ya Bongoswaggz inayopatikana Playstore ili uweze kuwa wa kwanza kuzipata ngoma za wasanii wa yamoto bandi.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.