Amber Lulu: Sifuti tatoo ya Young D - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Amber Lulu: Sifuti tatoo ya Young D

Video queen na muimbaji wa bongo fleva, Amber Lulu amefunguka na kusema kamwe katika maisha yake hawezi kufuta 'tatoo' ya mpenzi wake wa zamani Paka Rasta alimaarufu kama Young Dar es Salaam

Amber Lulu alitumia ukurasa wake wa Instgram kusema hayo na kudai aliamua kuchora 'tatoo' hiyo mwenyewe wala hakulazimishwa na mtu yoyote na pesa za kuchora zilikuwa zake mwenyewe.

"Jaman nishasema 'tatoo' sifuti nilichora kwa matakwa yangu mwenywe, kwa pesa yangu mwenywe hata sikuambiwa na mtu wala kushauriwa na hii post napost kwa simu yangu mwenywe, kwa acount yangu mwenywe, bando langu mwenywe na hii nasema mwenyewe tatoo sifuti" alisisitiza Amber Lulu

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.