Alikiba aweka Historia Mbele ya Diamond Platnumz huko South Africa Daima Atakumbukwa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alikiba aweka Historia Mbele ya Diamond Platnumz huko South Africa Daima Atakumbukwa

Haiba ya msanii ni kila siku kuweka kitu kipya katika tasnia yake ya mziki kitu ambacho kitamfanya akubukwe daima kwa kitu ambacho amefanya.

Msanii Alikiba kutoka pande za bongoland amefanikiwa kuweka historia juzi usiku wakati alipokuwa akitumbuiza kama msanii pekee wa show na kuja na aina mpya ya muonekano na nyimbo pia.

Bongoswaggz haitaki kukunyima uhondo na istoria hiyo mpya aliyoiweka Alikiba hivyo unapaswa kuitazama video hii kisha kuacha Comment yako Je? Alikiba amekukosha au kapuyanga.Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.