Alikiba aambiwa ana roho ngumu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alikiba aambiwa ana roho ngumu

Hussein Machozi amesema 'team' katika muziki wa bongo fleva zimekuwa nzuri kwani zinafanya mashabiki waendelee kukomaa na msanii wao ila anasema yeye hawezi kwani hana roho ngumu kama Alikiba ambaye anatukanwa na watu mitandaoni na kukaa kimya.
Hussein Machozi amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha eNewz na kusema yeye mtu akimtukana kwenye mitandao ya kijamii anaumia sana na lazima amtafute ili amfundishe adabu anasema yeye hawezi kuwa na uvumilivu waliokuwa nao wakina Alikiba na wasanii wengine ambao wana team hizo kwenye mitandao. 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.