Afande Sele: ‘Mimi sio shabiki wa muziki wa Vanessa Mdee ila’ - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Afande Sele: ‘Mimi sio shabiki wa muziki wa Vanessa Mdee ila’

Tangu 3 May, 2017 headlines za wawili zilianza kutawala katika mitandaoni sasa , Afande Sele ambae ameeleza jinsi alivyomaanisha tofauti ya muziki wa Saida Karoli na Vanessa Mdee pia katoa ushauri huu.

‘Nilimtaka kama miongoni wa wasanii ambao wapo katika kimtaifa lakini nashangaa kuona vyombo vya habari vinazidi kukuza hizi taarifa, mimi Vanessa Mdee avyoimba namuona kama wakina Beyonce, Rihanna na wengineo hayo ni maoni yangu pia nilikuwa naongelea level ya Saida Karoli na Vanessa Mdee naomba watu wafahamu sina tatizo na Vanessa Mdee na wala mimi sio shabiki wa muziki wa Vanessa Mdee nilitoa mifano mingi tu’- Afande Sele

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.