Zlatan Ibrahimovic, Huwenda tukamkosa mpaka Msimu Ujao - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Zlatan Ibrahimovic, Huwenda tukamkosa mpaka Msimu Ujao

Staika wa timu ya Manchester United na timu ya taifa ya Sweeden, Zlatan Ibrahimovic huwenda tusiwenae mpaka mwakani, kutokana na injur aliyoipata usiku ya kuamkia leo wakati timu yake ilipokuwa ikimenyana na Anderlecht.

Zlatan Ibrahimovic aliumia dakika ya 90+2 ya mchezo baada ya kuusimamia vibaya mguu wake alipokuwa akitokea juu na kumpelekea maumivu makali yaliyompeleka mpaka nje ya wanja.

Licha ya Manchester United kuibuka na ushidi wa goli 2-1 thidi ya Anderlecht, goli ambalo lilitiwa kimiani na Mshambuliaji Marco Rashford kwenye dakika za lalasalama za mechi hiyo.

Taarifa kutoka kwa dakatar wa timu hiyo huwenda baada ya vipimo mchezaji huyo atafanyiwa uparasheni ya enka na itakuwa nje mpaka msimu ujao .

Tupia jicho picha za matukio ya mechi ya jana.

Msikilize kocha Jose' Mouninho akiizungumzia Mechi na kumzifu Rashford.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.