Video: Stan Bakora- Show Me -remix Harmonize ft Rich Mavoko - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Stan Bakora- Show Me -remix Harmonize ft Rich Mavoko

Tayari imekatika wiki moja tu tangu kutoka kwa official video ya Harmonize aliyomshirikisha Rich Mavoko na kuipa jina la 'Show Me'. Hakika tunamjua vyema kwa umahiri na uchekeshaji wa Stan Bakora, na hii ni remix ya show me.

Bongoswaggz tunakukabidhi mamlaka ya kuitazama video hiyo ikiwa ni siku moja tu tangu iachiwe. kuwa wa kwana kuiangalia alafu tuachie Comment yako.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.