Video: OMG Ft. Barakah The Prince - Uongo na Umbea - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: OMG Ft. Barakah The Prince - Uongo na Umbea

Kundi la mziki kutoka Bongoflevani OMG wametusogezea karibu video ya wimbo ‘Uongo na Umbea’ ambao wamemshirikisha staa mwingine wa Bongofleva Barakah The Prince na kuandaliwa na Director Khalifan.

Itazame hapa chini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.