Video: Man Fongo - Safi tu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Man Fongo - Safi tu

Baada ya kutuambia kuwa 'Hainaga Ushemeji' msanii anaefanya vizuri kwa upande wa singeli Man Fongo.ameachia video ya mwimbo wake mpya wa 'Safi tu' video ambayo Man fongo kaja kivingine kwenye singeli.

Bongoswaggz inakukaribisha kuitazama video hiyo iliyofanywa na Director Ivan kwa ubora zaidi na ndani ya video man fongo hajataka kukunyima nafasi ya kumuona mchekeshaji wako mahiri 'Mangi wa vocha' Mangi Madiba. Enjoya hapa na 'SAFI TU'


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.