Video: Bonta Ft Baraka da Prince - Zero - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Bonta Ft Baraka da Prince - Zero

Mkali katika sekta ya michano ambae unaweza kumfananisha na 50 cent wa U.S.A hapa namzungumzia Bonta msanii ambae huwa anajua kuifokea maiki wakati anapokuwa studio ili kuidropisha ngoma kali.

Bongoswaggz inakuthibitishia kuwa style mpya kwa sasa katika game ya hiphop ni kumvhanganya R&B ili kuleta ladha flani katika ngoma yako. Icheck ngoma mpya ya Bonta hapa.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.