Video: Bill Nass ft Young Killer & Stamaina -Aje Mwenyewe - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Bill Nass ft Young Killer & Stamaina -Aje Mwenyewe

Baada ya kuachia audio ya 'Aje Mwenyewe' hii ni video yake, ngoma flani hivi ambayo tunafanikiwa kuwaona wakali wa tatu wanaofanya vizuri katika mziki wahapa bongo.

Bongoswaggz inakudropishia video mpya ya Billnass aliyomshirikisha Young killer na Stamina. Enjoy nayo

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.