Video; Alikiba Auimba Wimbo wa Rayvanny wa 'Kwetu' Tazama alivyo fanya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video; Alikiba Auimba Wimbo wa Rayvanny wa 'Kwetu' Tazama alivyo fanya

Huwenda usiamini hiki ambacho amekifanya Alikiba kwa Rayvanny wa Wcb na huwenda kikazua gumzo zaidi kutokana na kuonekana tofauti na inavyo fahamika.

Hakika inafahamika Alikiba na Diamond Platnumz ni chui na paka ila alikiba haimdhuru chochote kwa yeye kuizuwia hisia yake hasa pale anapokunwa na jambo.

Hakika ngoma ya Kwetu ni nzuri na ndio maana alikiba ameamua kuiimba na huwenda akatafsiriwa vibaya labda kujipendekeza au labda kutafuta kiki. Bongoswaggz inakusogezea video ya alikiba akiimba nyimbo hiyo.Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.