Uzembe wa David Degea Waipa Manchester United sare kwa Swansea Fc - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Uzembe wa David Degea Waipa Manchester United sare kwa Swansea Fc

Mchana wa leo kulikuwa na muendelezo wa mechi za ligi kuu ya England ambapo tulizishuhudia timu inayoongozwa na kocha mreno Jose Mohrinho iliwakaribisha vijana wa Swansea mechi iliyokuwa na vuta nikuvute.

Manchester United imejikuta ikitoka sare baada ya kushidwa kulilinda gali lao vizuri na kujikuta wakigawana point na swansea.

Mpaka dakika ya 80  Manchester United ilikuwa imeshaongoza kwa goli moja lakini makosa ya degea golini kwa muondoa Ander Herrera kwa kuhofia Offside kumeigarimu na kujikuta wanafungwa gali la kizembe kiasi ambacho kama degea asingemuondosha Herrera basi tulikuwa na uwezekano mkubwa wa kuliokoa goli hilo.

Bongoswaggz inakupa nafasi ya kutuachia comment yako kuhusiana na hatua za kusuasua za kuitafuta nne bora kwa Manchester United. 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.