U-Heard-: Penzi la Harmonize na Wolper kwisha habari yake. Ubuyu wote uko hapa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

U-Heard-: Penzi la Harmonize na Wolper kwisha habari yake. Ubuyu wote uko hapa.

Za kunyapia nyapia zinadai kwamba hakuna tena mapenzi baina ya mastaa Harmonize na mwanadada Jacqueline Wolper.Shilawadu wanadai kwamba Harmonize kwasasa ana toka na mrembo flani hivi wa kizungu na tayari mrembo huyo ni mjamzito na inasemekana kibendi hicho ni cha Harmonize.


Soudy Brown amewatafuta wawili hao bila mafanikio na kuamua kumvutia waya meneja wa Harmonize, Babu Tale. ili aweze kutupa angalau ukweli juu ya suala hilo.


Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play ili uweze kuusanukia mchongo mzima.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.