Tazama Matokea ya Mechi zilizochezwa Jana kwenye ligi ya EPL - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Tazama Matokea ya Mechi zilizochezwa Jana kwenye ligi ya EPL

Baada ya mapumziko ya takribani wiki mbili siku ya jana mtanange wa vilabu uwanjani uliendelea kama kawaida na kufanikiwa kwa timu kadhaa kunyakuwa point tatu na zingine zilipuyanga.

Bongoswaggz inakusogezea matokea yote ya mechi zilizochezwa jana katika ligi ya EPL ikiwa ni muendelezo wa ligi hiyo.

  • Liverpool     3-1   Everton
  • Burnley        0-2   Tottenharm 
  • Chelsea         1-2   Crystal Palace
  • Hull City        2-1  West Harm United
  • Leicester City 2-0  Stoke City
  • Manchester United 0-0 West Bromwich Albino
  • Watford            1-0   Sunderland
  • Southampton    0-0   Afc Bournmouth


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.