Tazama Jinsi Man United walivyo muenzi Ibrahimovic na Rojo - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Tazama Jinsi Man United walivyo muenzi Ibrahimovic na Rojo

Siku ya jana timu ya mashetani wekundu Manchester United inayoshikilia nafasi ya 5 kwa point 63 katika msimamo wa ligi kuu ya EPL ilikuwa inamenyana na Burnley. mechi iliyochezwa mishale ya saa kumi namoja alasiri.
Siku ya jana iliwekwa kuwa siku makhusi kwa kuwapa ishara ya kuwa pamoja au kuomboleza majeraha yao ambayo yatawaweka nje mpaka mwisho wa msimu ambao ni Zlatan Ibrahimovic na Marcos Rojo ambao alipata injury walipokuwa uwanjani wakipambana na Anderlecht.
Hali ya kuomkosa Ibrahimovic haikuwa ngumu kiasi cha kushidwa kumpa nafasi Wayne Rooney kwa siku ya jana. na jambo zuri kwa manchester united ni jioni ya jana kuibuka kwa point tatu kwa kuichakaza Burnley. Magoli yaliyowekwa wavuni na Martial pamoja na Wayne Rooney na kuifikishaia point 63, ikiwa nyuma ya Manchester city kwa point moja.Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.