Simba Washinda Rufaa Dhidi ya Kagare Sugar - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Simba Washinda Rufaa Dhidi ya Kagare Sugar

Simba wameshinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar na wamepewa point tatu baada ya kuibainika mchezaji wa kagera Sugar Mohammed Fakhi alicheza mechi ya Simba akiwa na kadi tatu za njano katika michezo dhidi ya Mbeya City, Majimaji, African Lyon hizo ndio mechi ambazo amepata kadi za njano๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.