Siku ya leo iwe faraja kwa Roma mkatoriki na wenzake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Siku ya leo iwe faraja kwa Roma mkatoriki na wenzake

Saikolojia ya Roma Mkatoliki na wenzake  bado ipo kwenye hali ya kuteswa na kutekwa alikotendewa hivi karibuni na watu wenye nia ovu.
Namkumbusha Roma Mkatoliki na wenzake Bin Laden pamoja Monii kuwa hata Yesu Kristo siku kama ya leo alikuwa amepatiwa mateso makali kutoka kwa wayahudi wenye maono ya kiudharimu na wasiopendezwa na haki.
yesu alitendewa hayo yote kutokana ukumbozi kwa watu wengine ili kusimama kwenye kuamini ujumbe wake.
Roma  ni Msanii mwenye kupaza sauti za wanyonge na kuzungumzia sana masuala yanayohusu maslahi ya umma hivyo kama ulitekwa kwa sababu hizo upo kwenye njia ya yesu.
Nakumbuka vibao vyako na mashairi yako kadhaa ambayo uliimba kwa uchungu na uzalendo bila kutafuna maneno uliimba kuhusu mustakabari masuala kadhaa.
Hukuacha kupaza suati kukemea ufisadi tangu uliponza kazi hii ya sanaa kupitia muziki wa Hip Hop.
Roma itoshe tu kujikubali kuwa wewe ni Mwanakondoo uliyepitia mtihani huu na kwamba wanaobeza kitendo ulichofanyiwa wewe yatwakuta tumerithi misemo kutoka ka malenga wetu  isemayo ukimuona mwenzako ananyolewa nawe tia maji kchwa chako,

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.