Rayvanny Afanikiwa kupata mtoto, Huyu ndio Mwanamke aliezaa nae. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Rayvanny Afanikiwa kupata mtoto, Huyu ndio Mwanamke aliezaa nae.

Hii si siku pekee kwa msanii Rayvanny anaesimamiwa na uongozi wa Wcb katika kazi yake ya mziki. lakini jumapili ya leo inakua ni siku maalumu kwa msanii huyo kwa kufanikiwa kupata mtoto.

Taarifa rasmi zimetolewa na Meneja wake @Salam_sk kupitia mtandao a instagram ambapo ameutumia kumpongeza kija huyo na baadae rayvanny amepost kumpa pongezi za hongera manamke aliezaa nae, Cha kustaajabu mwanamke aliyezaa nae alishawahi kua video queen wa nyimbo yake. pitia post hapa.sallam_skHongera mwanangu @rayvanny kwa kupata mtoto (My Favorite Artist WCB) najua unatamani kuwepo kumuona mwanao ila fanya kazi Kijana wangu!!

Baada ya hapo @rayvanny akapost picha akimpongeza mpenzi wake aliye zaa nae.


 Tazama Video zao hapa 
 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.