Ratiba ya Mechi za leo za Ligi ya kuu ya Epl, leo April 16 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ratiba ya Mechi za leo za Ligi ya kuu ya Epl, leo April 16

Leo April 16 kuna muendelezo wa ligi kuu ya Epl na zitapigwa mechi mbili katika viwanja tofauti katika ligi hiyo, na Bongoswagzz wanakupa mtiririko wa wa mechizitakazo chezwa leo.

  • West Bromwich Albion Vs Liverpool 
  •  Manchester United       Vs Chelsea
Usikose kuangalia Mechi ya Manchester United watakapokuwa wanamenyana na Chelsea kupitia Hapa hapa Bongoswaggz, Endelea kuwa nasi.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.