Rais Kenyatta atoa tamko kuhusu madaktari waliokuwa wamegoma Kenya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Rais Kenyatta atoa tamko kuhusu madaktari waliokuwa wamegoma Kenya

Leo April 5 2017 Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa tamko kuwa madaktari waliokuwa katika mgomo walipwe mishahara yao yote ya kipindi cha miezi mitatu bila kujali kuwa walikuwa wamegoma hii ni baada ya katibu Mkuu wa chama cha madaktari kuitaka serikali iwalipe mishahara yao ya tangu December 2016.

Wakati akihutubia mkutano wa chama cha Jubilee uliofanyika katika kaunti ya Kiambu Rais Uhuru Kenyatta aliwataka madaktari kutogoma tena kwani hatokuwa na huruma kwa wakati mwingine.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.