Q-Chillah afungukia swala la unga - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Q-Chillah afungukia swala la unga

MKALI wa Voko kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ amefunguka kuwa hakuacha unga kwa kwenda soba bali alipewa ushauri na kuufanyia kazi.

Mikito Nusunusu ilizungumza na Q-Chillah ambaye alisema kuwa kuacha kwake unga si kwa kwenda soba bali alipewa ushauri na jamaa yake anayejulikana kwa jina la Rajabu ‘Njiksi’.

“Namshukuru Njiksi yeye ni sehemu ya maisha yangu, ndiye aliyenitoa kwenye matumizi ya dawa za kulevya pasipo kwenda soba, jamaa ni rasta ila ukikaa naye utagundua kuwa ana mtazamo mzuri na wa busara kwa sisi wasanii,” alisema.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.