Picha: Jesse Lingard Avunja kibubu anunua gari la zaidi ya M 545.2 za kitanzania - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Jesse Lingard Avunja kibubu anunua gari la zaidi ya M 545.2 za kitanzania

Umri sio kikwazo cha kuweza kukwamisha mafanikio ya mtu ikiwa juhudi zinafanyika. maneno haya yana jidhihirisha yenyewe baada ya mechi 28 za kikosi cha kwanza sasa amefanikiwa kununua gari lenye thamani ya shilingi milioni 545.2 za kitanzania

Mshambuliaji huyo wa Manchester United amefikia idadi ya magari matatu kati ya mawili aliyokuwa anamiliki. Jesse ameamua kuinunua Bentley Continental GT ikiwa ni gari ya thamani zaidi kuliko gari alizowahi kuwa nazo.

Bongoswaggz inakusogezea picha za gari alilolinunua mchezaji huyo raia ya England.
Isikilize Hapa Nyimbo mpya ya Yamoto Band. Download App ya Bongoswaggz sasa inapatikana Playsore

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.