PICHA 5: Muonekano mpya wa Diamond Platnumz kwasasa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

PICHA 5: Muonekano mpya wa Diamond Platnumz kwasasa

Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa wa Bongo Flava wanaopenda fashion. Muimbaji huyo ameamua kubadilisha muonekano wa nywele zake kwa kuirudia style ya zamani ambayo mashabiki walikuwa wameizoea.

Hitmaker huyo wa ‘Marry You’, wikiendi hii atatumbuiza katika show yake nchini Zimbabwe. Tazama picha zaidi hapa chini.Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.